nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua sifa tano za sajili zinazojitokeza katika mazungumzo ya ofisi ya utawala ukirejelea video hii.
>>
1. Lugha rasmi
>>
6. Lugha ya heshima na staha
>>
2 .Lugha ya mafumbo
>>
7. Lugha sanifu
>>
3. Lugha ya unyenyekevu
>>
8. Lugha legevu
>>
4. Lugha ya utani
>>
9. Msamiati unaolenga mada maalum
>>
5. Lugha ya kiburi
>>
10. Lugha isiyo rasmi