Mbele
nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua hoja zinazozungumziwa katika mjadala wa kwanza kutokana na zile ulizopewa.
>>
1. Ongezeko la viwanda huongeza ajira.
>>
2. Kuwepo kwa viwanda vingi huboresha mazingira yetu.
>>
3. Viwanda vikitanda ukulima hunawiri.
<
>>
4. Kukua kwa viwanda hufanya uchumi uimarike kwa kuwa wafanyakazi viwandani hupewa mishahara mizuri.
>>
5. Ni muhimu kujenga viwanda zaidi ili kuhakikisha kuwa kila mtu amepata kazi.
>>
6. Viwanda vikiwa vingi huchafua mazingira.
>>
7. Ukuaji wa viwanda huleta umasikini kwani wafanyikazi viwandani hulipwa mishahara duni.