Jaza nafasi zilizoachwa kwa kuvuta na kupachika jibu sahihi.
 
1. Sherehe inayohusika katika mchezo ni ya
   
2. Watoto walipewa kwa mujibu wa
za jamii
   
3. Jukumu la kumpa mtoto jina lilikuwa la
   
4. Mtoto alipolia sana katika mchezo huu ilimaanisha alitaka
   
5. Shughuli ilifanyika katika mandhari ya
Nyumbani
Jina
Kumpa mtoto jina
Babu
Desturi