nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua hoja ambazo ni kweli kuhusu malumbano ya utani.
Kweli
La
a) Huonyesha uhusiano uliopo baina ya watu.
>>
>>
b) Huwafanya watani kuwa makini wanapotaniana.
>>
>>
c) Watani lazima wawe wa jinsia moja.
>>
>>
d) Malumbano ya utani huburudisha.
>>
>>
e) Watu wa koo moja hawawezi kutaniana.
>>
>>
f) Kila mtu anaweza kumtania mwingine.
>>
>>