nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika jawabu linalofaa katika nafasi iliyoachwa.
1. Mungu wa binadamu alikuwa nani.
2. a) Ni mnyama aliyechangia sana kifo kwa.
b) Taja sifa tatu zinazojitokeza za mnyama huyo.
.
3. Kwa nini mungu akigadhabishwa na binadamu.
4. Kwa nini hadithi hii ni kisa asili.