Vuta na kuweka katika nafasi zilizoachwa maneno yaliyorodheshwa.
1. Miviga huhusisha matambiko na
2. Baadhi ya miviga huweza kuwa na athari hasi kama
3. Kuhifadhi
na
umuhimu wa miviga
 
4. Miviga ya
huliwaza wafiwa
ni mfano wa miviga.
utoaji wa kafara
kueneza maradhi
 
mila
Kutawazwa uongozi
desturi
mazishi