nyuma
jaribu tena
hakikisha
Dondoa sifa tano za tondozi zinazojitokeza katika kifungu ulichopewa hapo juu.
>>
1. Kinamsifu mnyama.
>>
2.Kinamlinganisha mnyama huyu na wanyama.
>>
3.Kinasifu maumbile ya mnyama.
>>
4. Kinasifu manufaa ya mnyama.
>>
5.Kinaeleza hasara ya kumfuga ng'ombe.
Nyuma
Mbele