nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua jibu sahihi kwa kubonyeza kutoka kwa majibu uliyopewa kujibu maswali yafuatayo.
Kweli
La
1) Misimu huipa lugha mvuto
>>
>>
2) Misimu haiongezei msamiati katika lugha.
>>
>>
3) Misimu haitumiwi kuficha lugha chafu.
>>
>>
4) Misimu huwa chanzo cha maneno mapya katika lugha.
>>
>>
5) Misimu haitumiwi kufupisha na kuharakisha mawasiliano.
>>
>>
6) Misimu hutumiwa kuficha mawasiliano kwa wasiohusika.
>>
>>
Nyuma