nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua hoja ambazo ni kweli kuhusu malumbano ya utani.
Kweli
La
1) Ngomezi ni lazima itumie ngoma kuwasilisha ujumbe.
>>
>>
2) Ngomezi ilitumiwa kupitisha ujumbe muhimu.
>>
>>
3) Mdundo wa ngoma au muziki ulipitisha ujumbe tofautitofauti.
>>
>>
4) Ujumbe unaowasilishwa huweza kufichwa kwa wasio husika.
>>
>>
5) Ngomezi haitumiwi kupitisha ujumbe mzito kwa njia rahisi.
>>
>>
Mbele