nyuma
jaribu tena
hakikisha
Mwanafunzi, chagua jibu sahihi kutoka kwa majibu uliyopewa baada ya kila swali. 4)Unafikiri kwamba kengele ni mfano wa ngomezi?
>>
a) La hasha,kengele si ngomezi.
>>
b) Ndiyo, kengele ni mfano wa ngomezi ya kisasa.
>>
c) Sina hakika kama kengele ni mfano wa ngomezi.
>>
d) Kengele ni kifaa tu, si ngomezi.
Nyuma
Mbele