nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua sentensi zilizo sahihi kutokana na ulizopewa
>>
a) Ambaye aliyepita hapa hajulikani.
>>
b) Kilichopotea kimepatikana.
>>
c) Tulikosoa ambao walikosa.
>>
d) Ambazo zilizoletwa ni za Bahati.
>>
e) Iliyoandikwa ambayo inaelekea ofisi yangu.
>>
f) Ambacho unasema kinafurahisha.