|
Vuta neno na kulipachika katika pengo lililoachwa mwanzoni mwa sentensi
|
vimesafishwa sawasawa(vyumba,mzuri,vikubwa) |
|
|
yameenea kote lakini yatakomeshwa(maridadi,mabaya,mali) |
|
|
iliyotufaidi ilituendeleza sana(nzuri mvua,sifa) |
|
|
kunakotutosha sote ni huku(pema,kukubwa,pazuri) |
|
|
.anamshughulikia kila mtu bila ubaguzi(yeye,mwema,wazuri) |
|