nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika jibu sahihi katika pengo kwa kurejelea viwakilishi vilivyo mabanoni.
1.
imemea pale pale.(-ingine).
2.
aweza kuchaguliwa.(-o-ote).
3.
walifurahi.(-ote).
4.
zilijaa nyufa.(-ingine).
5.
umeanguka bila kukatwa na mtu.(-enyewe).