nyuma
jaribu tena
hakikisha
Linganisha sentensi na aina ya kiwakilishi ambacho kimetumika katika sentensi.
1. Niliyemchagua anafaa
2. Shujaa wetu amewasili
3. Vingi vizuri vitaletwa
4. Wao walitusaidia sana
5. Cha mlevi kililiwa na mgema
Sifa
A-unganifu
Kimilikishi
Idadi
Ngeli