nyuma
jaribu tena
hakikisha
Onyesha kwa kuchagua kweli au si kweli kama viwakilishi vilivyopigwa mstari vinalingana na aina zao kwenye mabano.
Kweli
La
a) Cha mzazi huliwa na mwanawe.(Ngeli)
>>
>>
b) Kwake kunapendeza sana.(Kimilikishi)
>>
>>
c) Vingapi vimeandikwa vizuri.(Idadi)
>>
>>
d) Nzuri zimenunuliwa zote.(Sifa)
>>
>>
e) Lililofungwa ni la Rebeca.(Ngeli)
>>
>>