Taja matumizi ya kisarufi ya neno ulilopigiwa mistari katika sentensi zilizopewa.
(i) Hima yake inamfaidi  
(ii) Kazi ifanywe hima  .
(iii) Alivaa bali akateremka  .
(iv) Aliteteza bali hakuanguka.
(v) Mzee anapasa kuheshimiwa  .
(vi) Mtu mzee anastahili heshima  .
(vii) Alifahamu yema kazi yetu  .
(viii) Fahamu zake zilivurugwa na  .
(ix) Mtoto wangu amepita mtihani.
(x) Wangu amepita mtihani  .