Onyesha kama vitenzi hivi ni mzizi huru, mzizi tegemezi au shina kwa kujaza pengo lililoachwa wazi.
1. Tembea  
2. Udhi  .
3. Shauriwa  .
4. Amka.
5. Igiza  .
6. Tubu  .
7. Ghairi  .
8. Fyekewa  .
9. Pika.
10. Tazamwa  .