nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza nafasi zilizoachwa kwa kutumia vitenzi ulivyopewa katika mabano katika kauli ya kutendama.
1. Ukifanya kosa ni vizuri
(kuunga)
2. Kupe
(ganda) ngombe.
3. Chombo
(tua) majini.
4. Mawingu mazito
(tanda) angani.
5. Mianzi ya pua
(funga ) kwa ugaga.