nyuma
jaribu tena
hakikisha
Kamilisha jedwali hili kwa vitenzi vya kauli ya kutenduka
Kitenzi
Kutendua
Kutenduka
1. Inama Inua
.
2. Ziba Zibua
.
3. Lewa Levua
.
4. Fuma Fumua
.
5. Bana Banua
.
6. Umba Umbua
.