nyuma
jaribu tena
hakikisha
Dondoa kishazi huru kwa kuandika katika nafasi zilizoachwa.
1) Katiba iliyopendekezwa imekubaliwa
2) Wachezaji walicheza vizuri ingawa timu yao haikushinda
3) Wanafunzi wengi wapya walifeli mtihani uliotungwa na Bw. Mutua
.
4) Iwapo utanikumbusha nitamweleza mkuu wa idara
5) Binadamu wasipohifadhi mazingira yao wataangamia
Mbele