Bainisha yambwa kitondo katika sentensi zifuatazo kwa kuandika kwenye nafasi zilizoachwa.
1) Rais ameimbiwa wimbo mzuri na wanafunzi  
         
2) Kadiri alimlelea Anyango mtoto wake  
         
3) Asante kwa kunitafutia funguo zangu  .
         
4) Katibu wa kudumu alimsomea waziri risala kwa wanafunzi
         
5) Mjukuu aliombewa radhi kwa babake na babu