Taja aina ya sentensi uliopewa.
1. Mti uliopandwa umenawiri.  
         
2. Maarusi wamewasiri na wageni wanawashangilia.   
         
3. Mtu mwadilifu huchukia ufisadi.a  .
         
4. Wanafunzi wanachanganuwa sentensi na mwalimu anasahihisha insha.
         
5. Mwanasiasa aliyemashuhuri hupinga ufisadi.