Chagua jibu sahihi kuonyesha matumizi ya ki katika sentensi zifuatazo.
Onyesha kama ni ya kuendelea au masharti.
1. Akitutembelea kesho, tutafurahi.  
         
2. Amekuwa akisoma kwa sauti tangu jana.  
         
3. Amekuwa akisimama wima shambani.  
         
4. Akifanya bidii sana,atafua dafu.
         
5. Ukiwa mzalendo sana,utatuzwa na Rais.