nyuma
jaribu tena
hakikisha
Tumia kiambishi 'a' pamoja na vitenzi ulivyopewa kujaza mapengo katika sentensi zifuatazo.
1) Jua
magharibi. (tua).
2) Wanafunzi
darasani.(soma)
3) Maimuna
shairi jukwaani. (kariri).
4) Watalii
kesho kutwa. ( wasili)
5) Mwalimu
kufundisha.(penda).