Jaza jedwali kwa kuzingatia namna za mnyambuliko kwa sehemu zilizoachwa.
Kitenzi Kutendewa Tendesha Tendesheka Tendewa
1. Pa
     
2. Nywa
3. Fa
4. Cha
     
5. La