nyuma
jaribu tena
hakikisha
Bainisha yambwa kitondo katika sentensi zifuatazo kwa kuandika katika nafasi zilizoachwa.
1) Rais ameimbiwa wimbo mzuri na wanafunzi
2) Kadiri alimlelea Anyango mtoto wake
3) Asante kwa kunitafutia funguo zangu
.
4) Katibu wa kudumu alimsomea waziri risala kwa wanafunzi
5) Mjukuu aliombewa radhi kwa babake na babu
Nyuma
Mbele