Chagua jibu sahihi kutokana na yale uliyopewa kwenye mabano.
 
1.Shairi la kwanza ni  (huru,jadi).
2. Kuna tofauti ya kimuundo baina ya shairi la kwanza na la pili    .(kuweko kwa mishororo, migawanyiko ya mishororo katika beti).
3.Shairi la pili linazungumzia  (mtu anayeishi maisha rahisi na jinsi anavyoporomoka kwa urahisi,michezo).
4. Shairi la kwanza linazungumzia aina   (tisa,kumi na moja)ya michezo..
5. Michezo ni muhimu kwa kuwa   (hufanya watu kuwa marafiki,huvuruga bongo).
6. Gharika katika shairi la pili yaweza kulinganishwa na   (hali mbaya maishani,hali isiyorithisha).
7. Hasira za kiangazi katika shairi la pili ina maana kuwa    (hali isiyofurahisha,hali ngumu ya maisha).