|
Jibu maswali yafuatayo.
1. Kiswahili in lugha ya
2. Andika sababu mbili zilizochangia kuenea kwa Kiswahili ,
.
3. Soko kuu la watumwa katika Afrika mashariki ilikuwa wapi ,
4. Taja dini mbili zilizochangia kuenea kwa Kiswahili ,
5. Taja Madai/nadharia nne zinazohusu chimbuko la Kiswahili ,
,
,
.
|