nyuma
jaribu tena
Hakikisha
Onyesha kama hoja ambazo zimeorodheshwa chini ni kweli au si kweli.
Kweli
La
1) Ujumbe mfupi hutumwa kupitia simu tamba pekee.
>>
>>
2) Ujumbe wa rununu ni nafuu kuliko nukulishi.
>>
>>
3) Ujumbe mfupi hauwezi kuhifadhiwa kwa muda mrefu.
>>
>>
4) Ujumbe mfupi ni rahisi kuandika.
>>
>>
5) Muda wa arafa kufika panapokusudiwa hutegemea urefu wa ujumbe.
>>
>>