nyuma
jaribu tena
Hakikisha
Jibu maswali yafuatayo kwa kutumia ndio au la .
Kweli
La
1. Tawasifu ni habari zinazo mhusu mtu binafsi
>>
>>
2. Tawasifu huandikwa na mtu mwingine kumhusu mtu fulani
>>
>>
3. Huwa ni muhtasari wa habari kumhusu mtu
>>
>>
4. Tawasifu haina maelezo yanayohusu uzoefu wa mtu.
>>
>>
5. Wadhamini hurejelewa ili kutoa habari zaidi kumhusu mtu kwa njia ya siri.
>>
>>
Mbele