nyuma
jaribu tena
Hakikisha
Chagua maelezo yafaayo kuhusu kumbukumbu kutika kwa maelezo uliyopewa.
>>
1) Kumbukumbu ni rekodi ya majadiliano na maafikiano kutokana na mkutano rasmi.
>>
2) Ni majadiliano kati ya wahusika wawili.
>>
3) Huhusisha orodha ya waliohudhuria au wasiohudhuria.
>>
4) Huhifadhi habari.
>>
5) Hufuatilia utekelezaji wa yaliyoafikiwa.
Mbele