nyuma
jaribu tena
Hakikisha
Chagua maelezo yafaayo ili kuandika kumbukumbu inavyostahili. Dondoa jawabu kwa orodha ifuatayo.
>>
1. Kuimba wimbo wa taifa.
>>
2.Kuandika ajenda.
>>
3. Shughuli za kibinafsi.
>>
4. Kusoma gazeti.
>>
5. Kuandika mada.
>>
6. Wanachama kutia sahihi.
>>
7. Kufungua mkutano.
>>
8. Wanachama kujuliana hali.
>>
9. Kuodhoresha waliohudhuria.
Nyuma