nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza nafasi iliyowachwa wazi kwa aina ya shamirisho inayofaa kwa kuzingatia maneno yaliyopigiwa mstari:(chagizo, kitondo, kipozi, ala/kitumizi).
1.Baba amenunua
baiskeli
nzuri.
2. Nimemwandali
mgeni
chakula kitamu.
3. Mhubiri aliwahubiria waumini habari njema kwa
kipaza sauti
.
4. Watoto wanacheza
mpira
kwa furaha.
5. Mwalimu ame
ni
sahihishia insha.
6.Mbwa waliwafukuza
majambazi
hao jana jioni.
7. Mwanamasumbwi ameshinda
mwenzake
vibaya sana.
8.
Mfisadi
ameshtakiwa na tume ya
kupambana na ufisadi
nchini kwa kufuja mali ya umma.
9.
Uji tamu
umepikwa na nyanya sasa hivi.
10. Mohammed ataandika
barua pepe
kwa tarakirishi.