Bonyeza kama ni kweli au la kuhusu maagizo aliyopewa Atanasi

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

Sentensi Kweli Si kweli
1. Kutofanya mazoezi ambayo yanachosha mwili.
2. Kupima shinikizo la damu mara tatu kila wiki.
3. Kutotumia chumvi.
4. Kujiepusha na vyakula vinavyompa joto mwilini.
5. Kufanya mazoezi yatakayohimiza mpigo wa moyo.
6. Kutumia vyakula vinavyojenga mwili.
7. Kujiepusha na hali zinazomfanya kukasirika ovyo.
8. Kutumia dawa bila kukosa.
9. Kumuona daktari kila siku.
10. Kutotumia vyakula vya mafuta.