nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza kama kauli zifuatazo zinaashiria UMUHIMU au SIFA za maagizo.
a) Maagizo huandikwa kwa herufi kubwa
.
b) Maagizo hudumisha nidhamu ya utendakazi
.
c) Maagizo huambatana na michoro
.
d) Maagizo huelekeza jinsi ya kutenda jambo ipasavyo
.
e) Maagizo hutumia lugha rahisi
.
f) Maagizo huepushia mtu madhara ambayo yangempata
.
g) Maagizo huorodhesha hatua mbalimbali zinazopaswa kufutwa
.
h) Maagizo huwa katka maandishi au usemi
.
i) Maagizo hupitisha ujumbe kwa kifupi
.
j) Maagizo huwekwa wazi ili yaonekane na yasizue utata
.