Chagua na kuchapisha jibu lilosahihi katika nafasi iliyoachwa wazi miongoni mwa majibu yaliyotolewa.
a) Maagizo hutangulizwa na    (ilani, anwani).
         
b) Maagizo aghalabu huandikwa    (kwa orodha, aya).
         
c) Maagizo huandikwa kwa sentensi    (fupi, ndefu).
d) Magizo lazima iwe na lugha    (tamathali, nyepesi).
e) Maagizo huwasilishwa kupitia    (njia moja, njia tofauti).