nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua sifa tano zinazoafiki muundo wa barua kwa mhariri.
a
Huwa na anwani mbili.
b
Hutumia lugha ya mafumbo na tamathali za usemi.
c
Huwa na mtajo.
d
Mada inayoonyesha kiini cha barua.
e
Sehemu ya yaliyomo huwa na ujumbe uliokusudiwa.
f
Maelezo ya kibinafsi hutumiwa.
g
Salamu hutolewa baada ya mada.
h
Hitimisho huonyesha jina la mwandishi.