nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua hoja ambazo si kweli katika orodha ifuatayo.
a
Lugha ya ufupisho hutumiwa katika ratiba.
b
Ratib lazima itaje mgeni wa heshima.
c
Ratiba hutumiwa kutangaza shughuli.
d
Ratiba hupangwa kiwakati.
e
Ratiba huandikwa kabla ya shughuli.
f
Ratiba haina kichwa.
g
Alama ya nukta pacha hutumiwa katika ratiba.
h
Maelezo marefu hutumiwa katika ratiba.