Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kuvuta na kupachika kutoka kwa orodha uliyopewa.
a) Matangazo rasmi ya kazi huzingatia utaratibu wa kuwa na |
|
b) |
ya jambo husika huandikwa kasha |
c) |
hufuatia: ahirika hilo hueleza |
d) |
na |
ya kazi yanayotarajiwa. |
Mada
Jina la shirika
Maelezo ya kijumla
Majukumu
Matakwa