nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua majibu sahihi.
a
Jina la aliyefariki huandikwa.
b
Majina ya wanaopaswa kuhudhuria mazishi huandikwa.
c
Majina ya wazazi na nduguze huandikwa.
d
Hauambatani na picha ya mfu.
e
Hutumia sentesi ndefundefu.
f
Mahali pa mazishi hutajwa.
g
Maneno hurudiwarudiwa.
h
Chanzo cha kifo huelezewa.
i
Hutumia lugha ya chuku.