Onyesha sifa ambazo ni za matangazo rasmi na zile za matangazo ya kawaida kwa kuandika maneno 'rasmi' na 'kawaida' baada ya sifa zuilizoorodheshwa chini.
a) Hutumia tamathali za usemi    
         
b) Huzingatia usanifu wa lugha    
         
c) Lugha huwa rasmi    
d) Baadhi ya maneno hurudiwarudiwa    
e) Matumizi ya sheng    
f) Sentensi huwa ndefu