nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua kwa kubonyeza kama ni kweli au la.
Sentensi
Kweli
Si kweli
1. Maana ya juu hutusaidia kutambua maana ya ndani ya methali.
Kweli
La
2. Hatuhitajiki kutumia methali nyingine unapoandika insha ya methali.
Kweli
Si kweli
3. Ni lazima insha izingatie sheria zote za kisarufi bila kujali mpangilio wa aya.
Kweli
Si kweli
4. Lugha iwe ya kumvutia msomaji.
Kweli
Si kweli
5. Kisa chako kinaweza kuanzia sehemu yoyote, ilmradi kifuate utaratibu ufaao.
Kweli
Si kweli
kijani:jibu sahihi;
nyekundu:umenoa;
bluu:hakikisha;