nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Insha zote huwa na umuhimu.Insha ya mawazo huwa na umuhimu wake. Changua jibu kutoka kwa orodha uliyopewa kwa kubonyeza jawabu sahihi
(a)
Hutumia lugha rasmi
(b)
Hukusa uwezo wa kubuni
(c)
Huburudisha msomaji
(d)
Hufuata muundo maalum
(e)
Huhusisha jambo lililoshuhudiwa
(f)
Hukuza msamiati
(g)
Huonyesha hisia za mwandishi
(h)
Wahusika hutumia maleba