Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Tambua kama ni kweli au la kuhusu sifa za sajili ya viwandani.
Sentensi
Kweli
La
a) Sajili ya viwandani hutegemea vyeo vya wahusika.
>>
>>
b) Sajili ya viwandani haina misamiati maalum.
>>
>>
c) Sajili ya viwandani hutegemea madhumuni.
>>
>>
d) Sajili ya viwandani hairuhusu uchanganyaji ndimi.
>>
>>
e) Sajili ya viwandani hutumia misimu.
>>
>>