Jaza mapengo ukitumia vivumishi vya pekee ulivyopewa chini.
(lolote, wote, mwenye,mwingine,penginepo)
a) Embe lililooza litang’olewa na kutupwa.

b) Ubeti huuhauna urari wa vina.

c) Jirani nyumba ile ameipuuza.

d) Samakiamekufa. Sasa tumebaki na wawili tu.

e) Nyumba hii itajengwa ,si hapa.