Nyuma
Jaribu Tena
Hakikisha
Chagua kweli au si kweli katika sentensi zifuatazo.
Sentensi
Kweli
La
1. Jitu huyu anatisha sana.
>>
>>
2. Kuimba huko kulituletea sifa nyingi.
>>
>>
3. Mkoba ile unabebeka kwa urahisi.
>>
>>
4. Mbolea hiyo ina faida kwa mkulima.
>>
>>
5. Mizigo hizo zilituchosha sana.
>>
>>
6. Kijitoto hiki kina tabia nzuri.
>>
>>