Tambulisha na kuandika vitenzi katika nafasi iliyo wazi katika sentensi zifuatazo.
a) Polisi waliwashika wahalifu.

b) Chakula cha mtoto kimekuwa baridi.

c) Wakongwe wale wanapikiwa chakula.

d) Wanamuziki waliwatumbuiza wageni.

e) Warfa alitunga mashairi.