|
Bainisha vitenzi halisi katika sentensi zifuatazo.
a) Mama anambeba mtoto.
b) Mwalimu anafunza hesabu.
c) Kocha aliwahimiza wachezaji.
d) Katibu alimtembelea waziri.
e) Halima alimpikia mgonjwa.
|