Nyuma
Jaribu Tena
Hakikisha
Chagua Kweli au sio kweli katika sentensi zifuatazo.
Sentensi
Kweli
La
1. Alitembea ni kitenzi kisaidizi.
>>
>>
2. Angali anasoma ni kitenzi kisaidizi.
>>
>>
3. Inabidi kukimbia ni kitenzi kisaidizi.
>>
>>
4. Waliimba ni kitenzi kisaidizi.
>>
>>
5. Anapaswa kujenga ni kitenzi kisaidizi.
>>
>>