Chagua vitenzi vishirikishi vipungufu mwafaka kujaza pengo:(angali, si,yu,ni, ingia, tu,ana,yumo
a) Mkulima shambani.

b) Huyu mwimbaji mashuhuri.

c) Walimu sebeluni.

d) Mwanafunzi kalamu.

e) Wakulima wazembe ni wenye bidii.